Simba, Azam, Singida BS zaweka rekodi ugenini CAF
ILICHOFANYA Yanga jana Ijumaa ikiwa ugenini nchini Angola baada ya kushinda mabao 0-3 dhidi ya Wiliete Benguela, ndicho kilichofanywa na wawakilishi wengine watatu wa Tanzania Bara katika michuano ya CAF, Simba, Azam na Singida Black Stars baada ya zote kupata ushindi leo. Hiyo inaonesha ni mwanzo mzuri wa wawakilishi wetu katika michuano ya kimataifa msimu…