ODDS Mpya Zimeingia – Bashiri Sasa, Jikusanyie Mpunga Mkubwa! – Global Publishers


Jumamoi nyingine ya mwezi Septemba imefika ambapo wewe una nafasi ya kujikwapulia mpunga mkubwa. Meridianbet wanakwambia hii ndio nafasi ya wewe kuchuana na ODDS zako. Unangoja nini?. Tandika jamvi lako sasa.

Tukianza na SERIE A leo hii Bologna ataumana dhidi ya Genoa FC huku mara ya mwisho walipokutana, mwenyeji alipasuka hivyo leo hii anataka kulipa kisasi. Je kwa ODDS ya 1.90 kwa 4.80 anaweza kuibuka mshindi?. Beti sasa.

Bibi Kizee wa Turin, Juventus atasafiri kukipiga dhidi ya Hellas Verona ambao hawajashinda mechi yoyote hadi sasa. Juve wao wameshinda mechi zote tatu walizocheza huku leo hii pia wanahitaji ushindi mkubwa. Bashiri mechi hii yenye ODDS 6.40 kwa 1.60. Bashiri kijanja hapa.

Udinese Calcio atakuwa na kibarua cha kukiwasha dhidi ya AC Milan ambao mechi iliyopita walipata ushindi mwembamba. Mwenyeji yupo mbele kwa pointi moja tuu. Je leo nani kuondoka na ushindi?. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 4.40 kwa 1.90. Suka jamvi hapa.

Michezo ya Kasino kukupatia pesa siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Pia ligi nyingine ambayo itaendelea ni ya kule Ujerumani yaani BUNDESLIGA ambapo FC Augsburg vs FSV Mainz huku mechi ya mwisho kukutana walitoa suluhu. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?. Mechi hii imepewa ODDS 2.70 kwa 2.65. Tandika jamvi hapa.

Vilevile TSG Hoffenheim wao watacheza dhidi ya FC Bayern Munich ambao ndio vinara wa ligi. Vijana wa Kompany ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda leo wakiwa na ODDS 1.35 kwa 7.40. Mara ya mwisho kukutana, Bayern aliondoka na ushindi. Leo hii nani kuondoka na ushindi?. Jisajili sasa.

Nao RB Leipzig watakuwa kibaruani dhidi ya FC Cologne ambao mechi iliyopita, walitoa sare huku wenyeji wao wakiondoka na ushindi. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. ODDS za mechi hii ni 1.80 kwa 4.00. Suka jamvi hapa.

EPL leo hii mapema kabisa Liverpool baaada ya kushinda mechi zake 3 za kwanza atamleta Anfield kukiwasha dhidi ya Everton huku hii ikiwa ni Merseyside Derby. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet anapewa Arne Slot na vijana wake kwa ODDS 1.50 kwa 6.20. Jisajili hapa.

Nao Brighton wataumana vikali dhidi ya Tottenham Hot Spurs huku mechi ya mwisho kukutana Spurs alipigika mechi zote. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 5 huku vijana wa Fabian Hurzeler ndio wanaongoza kupewa nafasi kubwa ya ushindi wakiwa na ODDS 2.35 kwa 3.00. Je beti yako unampa nani siku ya leo?. Bashiri hapa.

Vilevile kwa upande wa Crystal Palace wao watakipiga dhidi ya West Ham ambao mpaka sasa kwenye mechi 4 ambazo wamecheza wameshinda mechi moja pekee huku wakipoteza zote. Palace hadi sasa hawajapoteza mechi hata moja. ODDS za mechi hii ni 3.10 kwa 2.40. Tandika jamvi hapa.

Mechi kali Jumamosi ya leo itakuwa pale Old Trafford ambapo Manchester United atamenyana dhidi ya Chelsea huku mechi ya mwisho kukutana The Blues walishinda. United hadi sasa wana pointi 4 kwenye mechi 4 walizocheza. Je vita ya leo nani kuibuka mshindi?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.55 kwa 2.65. Suka jamvi hapa.

LALIGA kule Hispania nayo itarindima siku ya leo ambapo kinara wa ligi Real Madrid atakipiga dhidi ya Espanyol Barcelona ambao mpaka sasa ana pointi 10 akiwa nyuma pointi 4 dhidi ya vijana wa Alonso. Mara ya mwisho kukutana Real alipasuka. Je leo hii anaweza kulipa kisasi nyumbani?. 1.22 kwa 13 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.

Kwa upande wa Villarreal waoa wataumana dhidi ya CA Osasuna ambao kushinda siku ya leo wamepewa ODDS 5.40 kwa 1.67. Tofauti ya pointi kati yao ni ODDS 2 pekee. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa.

Mechi ya mwisho Hispania ni hii ya Valencia vs Athletic Bilbao ambao kushinda mtanange huu wa leo wamepewa ODDS 2.48 kwa 3.20. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana, Bilbao aliondoka na ushindi mechi zote mbili. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi?. Beti hapa.