Dakika 90 zilivyoipa Yanga rekodi mpya Angola

YANGA imeanza kwa kishindo msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiichapa Wiliete ya Angola kwa mabao 3-0, ikiwa kama imetanguliza mguu mmoja kufuzu hatua inayofuata ya mchujo. Yanga imewahi kuzing’oa timu mbalimbali za Angola, lakini ushindi huo uliopatikana kwenye Uwanja wa Novemba 11, Luanda unavunja unyonge wa mabingwa hao wa Tanzania kushinda ndani ya…

Read More

Mfaransa aukubali mziki wa Doumbia, Andabwile

BAADA ya kupoteza mbele ya Yanga katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali, Kocha wa Wiliete Benguela ya Angola, Bruno Ferry, amekubali ubora wa mastaa wa wapinzani hao, huku Mohamed Doumbia akimshtua. Bruno raia wa Ufaransa ambaye aliwahi kuifundisha Azam akiwa kocha msaidizi, sasa ni kocha mkuu wa kikosi cha…

Read More

Bao la kwanza lampa mzuka Haaland

MSHAMBULIAJI wa Namungo, Abdulaziz Shahame ‘Haaland’ amesema licha ya timu hiyo kuanza Ligi Kuu Bara kwa sare nyumbani, lakini amefurahia kufunga bao lake la kwanza akiwa na kikosi hicho, kwani litamuongezea morali ya kuzidi kupambania nafasi. Nyota huyo aliifungia bao Namungo dakika ya 90+4, katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Pamba…

Read More

Yanga yarudi na siri kutoka Botswana

WAKATI kikosi cha Yanga alfajiri ya leo Jumapili kikiingia Dar es Salaam kikitoka Angola, kuna kitu ambacho kocha wa timu hiyo, Romain Folz anatamba nacho huku mwenyewe anasema bado yupo katika kuijenga timu imara msimu huu. Wakati Folz akiyasema hayo, kuna siri imefichuka huku Yanga ikiwa tayari imefanya mambo makubwa katika mechi mbili za kimashindano,…

Read More