Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Josephat Lotto
akizindua Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki “EY Tanzania Banking Sub-Sector
Report 2024,” iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY
Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka
mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya
kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Hafla ya
uzinduzi huo, imefanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania,
jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja wa EY Tanzania,
Irene Moris.
Report 2024,” iliyoandaliwa na Kampuni hiyo, inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka
mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya
kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Hafla ya
uzinduzi huo, imefanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania,
jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja wa EY Tanzania,
Irene Moris akizumbumza wakati uzinduzi wa Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki nchini “EY Tanzania Banking Sub-Sector
Report 2024,” iliyoandaliwa na Kampuni hiyo, inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka
mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya
kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Hafla ya
uzinduzi huo, imefanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania,
jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Report 2024,” iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY
Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka
mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya
kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Wengine pichani ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wapili kushoto), Afisa Mkuu wa Fedha na Thamani wa Benki ya Stanbic, Derick Lugemala pamoja na