
Mahakama Kuu kuamua hatima ya Tundu Lissu, leo
Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo Jumatatu Septemba 22, 2025, inatarajia kutoa uamuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema taifa, Tundu Lissu. Hatua hiyo inatokana na pingamizi lililowasilishwa na mshtakiwa huyo mahakama hapo Septemba 16, 2025 la kudai kuwa hati ya mashtaka ni batili kutokana na kukiuka masharti…