MASHINDANO ya Kombe la Europa yanarejea kwa kishindo leo, huku kila kikosi kikijiandaa kwa vita ya pointi muhimu kuelekea hatua za juu zaidi. Kwa mashabiki wa kubashiri, Meridianbet imeweka mezani michezo mingi ya kuvutia na machaguo tele kuhakikisha huachiwi nyuma katika safari ya ushindi.
Kutoka jiji la Sevilla, Real Betis wanaingia dimbani Estadio De La Cartuja kuwakaribisha Nottingham Forest kutoka Ligi Kuu ya Uingereza. Betis wapo kwenye mwelekeo mzuri, wakishinda michezo miwili na sare tatu kati ya sita ya mwisho. Nottingham Forest, ingawa wanatoka kwenye ligi yenye ushindani mkubwa, wanakutana na kikosi kilichojaa morali. Kwa wanaobashiri kupitia Meridianbet, huu ni mchezo wa kuchuma ushindi wa maana.
Vijana wa Franck Haise, OGC Nice, wanakutana na AS Roma kwenye pambano la kuvutia. Roma wakiwa na alama 9 kutoka mechi nne, wanaingia wakiwa na rekodi nzuri, huku Nice wakijitahidi kurejesha makali yao baada ya ushindi wa mechi mbili tu kati ya tano za mwisho. Meridianbet imeweka odds za kuvutia kwa mashabiki wanaotaka kubashiri mechi hii.
Mbali na mechi za Kombe la Europa, Meridianbet inaendelea kutoa burudani ya kiwango cha juu kupitia Bonanza na michezo ya kasino mtandaoni. Odds kabambe kwenye mechi za kimataifa zinakupa nafasi ya kuongeza kipato kwa njia rahisi na salama. Kujiunga ni rahisi sana, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.
SC Braga ya Ureno inawakaribisha Feyenoord ya Uholanzi kwenye mechi inayotarajiwa kuwa ya kusisimua. Ricardo Horta, kiungo mshambuliaji hatari wa Braga, anatazamiwa kuwa tishio, lakini Feyenoord wakiongoza msimamo wa ligi yao, wanakuja na kandanda safi na la kuvutia. Odds za Meridianbet kwa mchezo huu ni tamu kwa wanaotafuta ushindi wa haraka.
Dinamo Zagreb, waliokosa ubingwa wa Croatia kwa tofauti ya magoli, wanakutana na Fenerbahce ya Uturuki ambao wamepoteza kocha wao mkuu Jose Mourinho. Mechi hii inabeba ushindani wa hali ya juu na Meridianbet imeihakikisha kuwa na odds zinazovutia kwa mashabiki wa kubashiri.
Wakati mechi mbalimbali barani Ulaya zikiendelea kutimua vumbi, Meridianbet, wakali wa kubashiri mtandaoni, wanakupa odds kubwa kwenye kila mchezo. Jisajili sasa kupitia tovuti au app rasmi ya Meridianbet na uanze safari yako ya ushindi bila kusita.