
KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS DK.SAMIA ZILIVYOMRUDISHA HARMONIZE KWA DIAMOND AKIIMBA NAMLETA RAIS…
Na Said Mwishehe,Michuzi TV -Ruangwa MWANAMUZIKI maarufu katika muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva Rajabu Ibrahim maarufu Harmonize leo amewapagawisha wana CCM na wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi baada ya kuimba Wimbo wa Namleta Rais ambao ni wa Msanii Nassib Abdull ‘Diamond’ Kwa muda mrefu Harmonize tangu alivyoondoka Lebo ya WCB ya Wasaf inayomilikiwa…