HabariABBAS MWINYI, KAKA WA RAIS WA ZANZIBAR DR. HUSSEIN MWINYI, AMEFARIKI DUNIA. Admin2 hours ago01 mins 6 Marehemu alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia CCM na aliwahi pia kuwa Mbunge wa jimbo hilo kabla. Taarifa zaidi tutakuletea kadri tutakavyokuwa tunazipata kupitia mwandishi wetu aliyepo Zanzibar Post navigation Previous: MUHIMBILI YAKANUSHA KUWAFUTA KAZI WAFANYAKAZI 200Next: Mwili wa Askofu Mkuu Rugambwa waagwa Vatican