
Mabaharia wa Zenji waliamsha Afrika
MABAHARIA wa Zanzibar, KMKM inakuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kutupa karata katika mechi za marudiano ya michuano ya CAF wakati jioni ya leo itakapoikabili AS Port ya Djibouti kwenye Uwanja wa New Amaan, visiwani Zanzibar. KMKM ilianza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kushinda mabao 2-1 ikiwa wageni wa AS Port licha…