EWURA YATEMBELEA MRADI WA UMEME WA SOLA KISHAPU
Na Tobietha Makafu & Janeth Mesomapya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetembelea mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga, leo tarehe 27 Septemba 2025. Akitoa taarifa kwa Bodi, Meneja wa Mradi Mha. Emmanuel Anderson alisema, mradi huo unatekelezwa kwa awamu…