Wenye Kula Riba Watadhoofika Maishani – Video – Global Publishers



Kupitia kipindi cha Mawaidha ya Ijumaa, mhadhiri wa kiislamu, Shekhe Kandauma, ameeleza kwa msisitizo kuwa yeyote mwenye kula riba hatapata baraka bali ataishi katika kudhoofika na matatizo maishani mwake.

Shekhe Kandauma amewataka waumini kuepuka kabisa vitendo vya riba kwa kuwa ni moja ya mambo yaliyokatazwa vikali katika Uislamu.

Video kamili ya mawaidha hayo inapatikana kwenye YouTube ya Global TV.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, usisahau like 👍, comment 💬 na subscribe ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari na mawaidha mbalimbali yenye ukweli na uhakika.