Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • MRADI WA KIMKAKATI WA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI WAENDELEA MIKOA MITANO

    56 minutes ago
  • Hutaki mtoto wako awe mnafiki? fanya haya

    2 hours ago
  • TPDC YATEKELEZA MRADI MKUBWA WA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI KITALU CHA EYASI–WEMBERE

    2 hours ago
  • JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025

    2 hours ago
  • UKAGUZI WA MABASI YA ABIRIA WAFANYIKA KUDHIBITI AJALI

    2 hours ago
  • Kiwango cha Che Malone chamuibua kocha Simba

    2 hours ago
  • Home
  • 2025
  • September
  • 27
  • Wimbo Mpya : MAP MASTAR MKM Ft. NOBE
  • Burudani

Wimbo Mpya : MAP MASTAR MKM Ft. NOBE

Admin3 months ago01 mins
39

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Map Mastar MKM wakishirikiana na Nobe wametambulisha rasmi wimbo wao mpya uitwao “Kiongozi Bora”, audio rasmi ikiwa imewekwa kupitia mtandao wa YouTube chini ya Misalaba Media. 

Wimbo huu unakuja ukiwa na ujumbe mzito wa kijamii unaogusa nafasi na wajibu wa viongozi bora katika maendeleo ya taifa, ambapo wasanii hao wanatumia sanaa yao kueleza matarajio ya wananchi kwa viongozi wanaojali, kusimamia haki na kusogeza huduma karibu na wananchi.

Post navigation

Previous: WADAU WAJITOKEZA KUPANDA MLIMA LOLMALASIN MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI.
Next: DKT. PHILIP MPANGO, BALOZI MULAMULA NA VIONGOZI WENGINE WA TANZANIA WASHIRIKI MKUTANO WA UNGA NEW YORK, USA.

Related News

Hutaki mtoto wako awe mnafiki? fanya haya

Admin2 hours ago 0

Kimbia ndoa ya wanaume aina hii

Admin9 hours ago 0

2025 ilivyoacha tabasamu na vilio kwa mastaa

Admin5 days ago 0

Mwanga mpya kwa mafundi wasio na vyeti

Admin5 days ago 0

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo