September 28, 2025
‘Hatuamini katika Kukata tamaa’ Naibu Mkuu wa UN anaambia Umati wa Tamasha la New York – Maswala ya Ulimwenguni
Hafla hiyo ya muziki, ambayo ilifanyika katika Hifadhi ya Kati mwishoni mwa wiki iliyopita ya Wiki ya kiwango cha juu cha Mkutano Mkuu, ni tukio la kushangaza kutoka kwa Citizen ya Global, harakati kubwa zaidi ulimwenguni kumaliza umaskini uliokithiri. Mstari wa mwaka huu ulijumuisha nyota za kimataifa kama vile Shakira, Cardi B na Rosé. Bi…
MATHIAS CANAL AONGOZA UPATIKANAJI MIL 85 UJENZI WA KANISA KIOMBOI-IRAMBA
::::::::: Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya WAZOHURU MEDIA Ndg Mathias Canal amewaongoza Viongozi wa dini, Wadau wa maendeleo na Waumini kwenye harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania-KKKT Usharika wa St George Kiomboi Wilaya ya Iramba Mkoani Singida. Katika harambee hiyo iliyofanyika leo tarehe 28 Septemba 2025 katika eneo…
Milima, mabonde kampeni za uchaguzi zikifikisha mwezi mmoja
Dar es Salaam. Kampeni za vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, zimetimiza mwezi mmoja sasa tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilipotangaza rasmi kuanza kwa kampeni hizo, Agosti 28, 2025. Vyama hivyo vilianza kufanya kampeni zao kwa kuwanadi wagombea wao wa urais, ubunge na udiwani sambamba na kunadi ilani…
Nyanya zenye dawa zakutwa sokoni, watalaamu waonya
Kama ukifika sokoni umekuwa ukizikimbia nyanya zilizobonyea au kupondeka maarufu masalo, jiulize mara mbili, huenda hizo ndio salama zaidi kwa afya yako.
HAMZA TANDIKO AENDELEA KUWASHA MOTO WA KAMPENI MAGANZO
Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Hamza Yusuph Tandiko. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Kampeni za Uchaguzi Mkuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kushika kasi, ambapo Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko, ameendelea kunadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 akisisitiza kuwa ni…
Wizara ya Madini yafikia asilimia 98 lengo la ukusanyaji mapato
Geita. Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko amesema mageuzi ya teknolojia na usimamizi madhubuti katika sekta ya madini, yameiwezesha serikali kukusanya sh3.8 trilioni katika kipindi cha miaka minne, sawa na asilimia 96 ya lengo la Wizara ya Madini. Akizungumza wakati wa kufunga monyesho ya nane ya kitaifa ya teknolojia ya madini Dk Biteko amesema mabadiliko hayo…
Askofu Shao: Amani isiwe mdomoni tu
Dodoma. Askofu wa Jimbo Katoliki Zanzibar, Augustino Shao amesema amani ya kweli haiwezi kupatikana bila haki, akisisitiza kwamba mioyo ya watu wengi inavuja kwa kukosa haki licha ya kuonekana wametulia. Askofu Shao amesema hayo leo leo Jumapili Septemba 29, 2025 wakati akihubiri kwenye misa ya Sakramenti ya Kipaimara, katika Parokia ya Kivule, Jimbo Kuu Katoliki…
Mgombea ubunge Mbarali awaomba wananchi kura akamalizie changamoto
Mbeya. Mgombea ubunge wa Mbarali, Bahati Ndingo, amewaomba wananchi kumpa ridhaa kwa kipindi kingine ili akatatue changamoto ya ubovu wa barabara, huduma ya maji safi na nishati ya umeme vijijini. Amesema huduma hizo zitachochea kukua kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi, hususan wakulima wa zao la mpunga, kusafirisha kutoka mashambani kwenda sokoni. Ndingo amesema hayo…
Mgombea udiwani CCM aahidi kukomesha wanafunzi kutembea umbali mrefu
Moshi. Mgombea udiwani wa Kata ya Karanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Deogratius Mallya, ameahidi kushughulikia changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda shuleni kwa kuhakikisha ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kata hiyo, akitachaguliwa kuwa diwani. Akizungumza leo, Septemba 28, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake uliofanyika katika kata hiyo, Mallya amesema shule…