Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM, Eric Shigongo, amesema anajivunia kuwa Mtanzania na kuwataka wananchi wa Kata ya Kafunzo kuthamini utajiri wa rasilimali zilizopo nchini.
Shigongo alitoa kauli hiyo alipokuwa akimnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Kafunzo, Tungalaza Kabobo (CCM), wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika kata hiyo.
🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Related