September 29, 2025
Ukraine inakabiliwa na ndege mpya za Urusi mara moja – maswala ya ulimwengu
Kulingana na mamlaka ya Kiukreni, shambulio hilo lilidumu karibu masaa 12 na lilihusisha karibu drones 600, makombora 46 ya kusafiri na makombora matano. “Maisha zaidi yamepotea … nyumba zimeathiriwa (na) watoto ni miongoni mwa majeruhi,” Alisema ofisi ya uratibu wa misaada ya UN, Ocha. Kyiv na Zaporizhzhia yenye watu wengi walikuwa kati ya mikoa ambayo…
FCC, ZFCC ZASAINI MKATABA KULINDA USHINDANI WA HAKI SOKONI
:::::::: Tume ya Ushindani (FCC) ya Tanzania Bara na Tume ya Ushindani wa Haki Zanzibar (ZFCC) zimetia saini mkataba wa makubaliano wenye lengo la kuhakikisha kuwepo kwa mazingira ya ushindani wa haki katika masoko na kulinda maslahi ya walaji ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makubaliano hayo yamelenga kuimarisha ushirikiano wa kisheria, kitaalamu na…
DK.SAMIA AWEKA MKAKATI WA KUIREJESHA TANGA YA VIWANDA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tanga MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema endapo akipewa ridhaa ya kuliongoza Taifa, amedhamiria kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa wa viwanda. Ametoa kauli hiyo leo Septemba 29,2025 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi katika mkutano huo uliofanyika katika Uiwanja vya Usagara mkoani Tanga ambapo…
MENEJA WA TRA KILOMBERO AHIMIZA ULIPAJI KODI KWA HIARI
Kilombero Wakati awamu ya tatu ya kulipa Kodi ikitarajiwa kuhitimishwa hapo kesho tarehe 30.09.2025, Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro Bw. Innocent Minja amewataka Walipakodi ambao bado hawajakamilisha malipo ya Kodi zao, kulipa kwa hiari ndani ya muda uliosalia. Akizungumza na Walipakodi wakati wa zoezi la elimu ya Kodi…
WAZEE WA ARUSHA WAFANYA JOGGING KUADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI
Na Pamela Mollel,Arusha Katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani 2025, wazee wa jiji la Arusha wamefanya mazoezi ya jogging yaliyokuwa kivutio kikubwa katika mitaa mbalimbali ya kata ya Olasiti mnamo tarehe 27 Septemba 2025. Baada ya zoezi hilo la jogging, wazee waliendelea na mazoezi ya viungo yaliyolenga kuwafanya wawe na miili imara na yenye afya….
MENEJA TRA WILAYA YA BAHI ASISITIZA USAJILI WA TIN NA MALIPO YA KODI AWAMU YA TATU
Na. Yahya Saleh-Bahi Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Bw. Emmanuel Nyeme amewataka Wafanyabiashara na Walipakodi kwa ujumla ambao hawajasajiliwa kufanya hivyo kwani ni kinyume cha sheria kufanya biashara bila kuwa na Namba ya Utambilisho wa Mlipakodi (TIN). Pia, amewakumbusha kulipa malipo ya kodi ya awamu ya tatu kabla…
Jipange na gharama hizi za matibabu ya moyo, usipoacha haya
Dar es Salaam. Kama huzingatii ushauri wa wataalamu juu ya kubadili mfumo wa maisha, upo hatarini kupata maradhi ya moyo ambayo kulingana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) matibabu yake ni hadi Sh30 milioni. Maradhi mengine ambayo wataalamu wanaonya kuathiri moyo, ni shambulio la moyo ambayo matibabu ni Sh6 milioni kuzibua mshipa mmoja, kuwezesha…
Taasisi ya Na Simama na Mama Kuinua Wanawake na Kuhamasisha Uchaguzi wa Amani
Na Pamela Mollel,Arusha Taasisi ya Na Simama na Mama nchini Tanzania, yenye malengo ya kuinua wanawake katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, imepanga kushiriki kwenye maandamano ya amani kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi kwa amani na mshikamano. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea siku ya uzinduzi wa taasisi hiyo kwa Kanda ya Kaskazini, Mwenyekiti…
MUHIMBILI YAANDIKA REKODI YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI, WATOTO 103 WAPANDIKIZWA VIFAA VYA KUSAIDIA KUSIKIA
Katika kutekeleza azma ya mageuzi katika sekta ya afya nchini, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeweka historia kwa kuwa taasisi ya kwanza Afrika Mashariki kufanikisha upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia (cochlear implant) kwa watoto 103 ambapo hatua hiyo imeshuhudiwa leo Septemba 29, 2025, baada zoezi la vifaa 16 kuwashwa rasmi kwa watoto waliokuwa wakisumbuliwa…