Tulishirikiana kulifukua kaburi hilo hadi tukalipata sanduku lililokuwa ndani, ambalo lilikuwa limeshaoza lakini maiti iliyoanza kuharibika ilikuwemo ndani. Kitu ambacho kilitushitua ni kuwa kwenye dole gumba lake la mkono wa kulia kulikuwa na rangi mbichi ya bluu, rangi ambayo hutumika katika mihuri.
Bado Watatu – 43
