KUTOKA NDANI YA JIMBO LA KIBAMBA JIONI YA LEO.

Picha mbalimbali za matukio ya Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo Septemba 29,2025 katika viwanja vya Malamba Mawili,Jimbo la Kibamba wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam.