JUMATATU hii, viwanja vya soka barani Ulaya vinageuka majukwaa ya burudani na ushindani mkali, huku mashabiki wakijiandaa kushuhudia mechi nne za kuvutia kutoka EPL, La Liga na Serie A. Kwa wale wanaopenda kubashiri kwa maarifa, Meridianbet imeweka mazingira ya ushindi kuwa ya kuvutia zaidi kuliko kawaida, odds kubwa na machaguo tele kwa kila dakika ya mchezo.
Katika Ligi Kuu ya England, Everton wanawakaribisha West Ham United kwenye dimba la Goodison Park. Mechi hii ni ya kuwania pointi tatu muhimu kwa timu zote mbili. West Ham wanapambana kujinasua kutoka mduara wa hatari, huku Everton wakitafuta ushindi wa tatu uwanja wa nyumbani. Kukosekana kwa nyota kama Aaron Wan-Bissaka na Jarrad Branthwaite kunazidisha ugumu wa mchezo huu. Meridianbet inakupa nafasi ya kuamua mshindi kabla ya kipenga cha mwisho.
La Liga inatupa mchuano mtamu sana kati ya Valencia na Real Oviedo. Oviedo, waliopanda daraja msimu huu, wanakutana na Valencia walioko kwenye harakati za kurejesha hadhi yao ya zamani. Mestalla itakuwa jukwaa la burudani siku ya leo, huku vijana wa Oviedo wakitafuta kuthibitisha kuwa hawajapanda daraja kwa kubahatisha. Meridianbet inatoa machaguo ya kipekee kwa kila hatua ya mchezo huu.
Vilevile, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Katika Serie A, usiku wa Italia unawaka moto kwa mechi mbili zenye ladha ya ushindani. Kwanza, Parma wanawakaribisha Torino pale Stadio Ennio Tardini. Parma wakiwa hawajapata ushindi wowote msimu huu, wanakutana na Torino waliodhamiria kujiimarisha katikati ya msimamo wa ligi. Na baadaye mnamo saa 21:45, Genoa wanachuana na Lazio kwenye dimba la Luigi Ferraris. Tofauti ya alama moja tu inafanya mechi hii kuwa ya kufa na kupona, huku Patrick Vieira akitafuta ushindi wa kwanza tangu kurejea kwa ligi.
Kwa mashabiki wa kubashiri, Jumatatu hii si tu siku ya mechi, ni siku ya mapato. Odds za Meridianbet ni kubwa sana, na machaguo ni mengi kuliko ilivyowahi kutokea. Tembelea Meridianbet.co.tz au pakua Meridian App sasa na usuke jamva lako.