
Ishu ya kocha Simba ipo hivi
KATIKA benchi la ufundi la Simba, hakuna kocha mkuu, hiyo ni baada ya kuondoka kwa Fadlu Davids ambaye tayari ametambulishwa kuinoa Raja Casablanca ya Morocco. Wakati Fadlu akiondoka huku akiiacha Simba ikipambana kumsaka mbadala wake, timu hiyo tayari imecheza mechi mbili, moja ya…