Simba wapo kwenye hatari, Ahoua hajitumi ipasavyo – Saleh – Global Publishers



Mchambuzi mahiri wa soka nchini, @Salehjembefacts, amesema kwamba mchezaji wa kimataifa wa Simba, Jean Charles Ahoua anaiangusha klabu yake na kama akiendelea hivi, anapaswa kuanzia benchi.

Saleh amesema alishawahi kumzungumzia mchezaji huyo siku za nyuma watu wakampinga lakini sasa inajidhihirisha wazi kwamba Ahoua hajitumi ipasavyo awapo uwanjani.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.