Bandari ya Dar itakavyokabili ongezeko la mizigo mwisho wa mwaka
Dar es Salaam. Kadri msimu wa kilele cha usafirishaji wa mwisho wa mwaka unavyokaribia, wadau wa bandari wanaongeza kasi ya maandalizi kushughulikia kile kinachotarajiwa kwenye msimu wenye shughuli nyingi za mizigo bandarini. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kwa kushirikiana na waendeshaji binafsi, imetangaza hatua kadhaa za kimkakati zinazolenga kuongeza ufanisi, kupunguza muda wa…