DOTTO NDUMBIKWA AAHIDI KUCHANGIA MADAWATI 50, MAGODORO 20 NA MBAO SHULE YA MSINGI MAZINYUNGU.
Farida Mangube, Kilosa MDAU wa Maendeleo Wilayani Kilosa Ndugu Dotto Ndumbikwa ameahidi kuchangia Madawati Hamsini (50), Magodoro Ishirini (20), Pamoja na Mbao katika Ujenzi wa Shule ya Msingi Mazinyungu Wilayani Kilosa. Ndugu Dotto ametoa ahadi hiyo wakati akijibu Risala ya Wanafunzi iliyoelezea baadhi ya Changamoto Shuleni hapo katika Mahafali ya kumaliza Elimu ya Msingi kwa…