Georges Bussungu wa Tadea na U-tano za ukombozi Tanzania
Februari 5, 1967, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere akiwa mkoani Arusha, alilitangaza rasmi Azimio la Arusha. Watanzania mikoa yote walijitokea kuunga mkono kwa namna mbalimbali. Sehemu nyingi njia iliyotumika ilikuwa ya matembezi ya mshikamano. Umbali kutoka Kijiji cha Mwanhala hadi Nzega Mjini (wilayani) ni kilometa 24. Wanakijiji wa Mwanhala walitembea wakiwa kundi kubwa hadi…