Soud aahidi kuondoa ushuru bandarini, karafuu kuuzwa Sh50,000 akitinga Ikulu
Unguja.Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said amesema endapo atachaguliwa kuingia Ikulu, kilo moja ya karafuu itauzwa Sh50,000 ili kuhakikisha wakulima wananufaika na zao hilo. Akizungumza leo Alhamisi Septemba 18, 2025 katika uwanja wa Mabembea Malindi Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa kampeni za chama chake, Soud pia ameahidi bandari…