Tume ya haki za binadamu yachunguza vurugu kesi ya Lissu
Dar es Salaam. Madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kushambuliwa wanachama wake na Polisi wakiwa Mahakama Kuu walipokwenda kuhudhuria kesi ya uhaini ya Mwenyekiti wao, Tundu Lissu, yameisukuma Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kuanzisha uchunguzi. Chadema, katika taarifa yake ya Septemba 15, 2025, imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi…