Mahakama yaamuru Ofisa Uhamiaji aliyefukuzwa kazi arejeshwe kazini
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mwanza, imeamuru kurudishwa kazini kwa aliyekuwa Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Dominic Adam, aliyefukuzwa kazi kutokana na mashtaka ya kinidhamu yaliyohusiana na kughushi vibali na stakabadhi. Mahakama hiyo imeamuru arejeshwe kazini na kulipwa stahiki zake tangu alipofukuzwa kazi na iwapo ametimiza umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria alipwe stahiki…