KATIBU MKUU UWT AWAHIMIZA WANAWAKE KUTOFANYA MAKOSA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2025
NA MWANDISHI WETU,IRINGA Katibu Mkuu wa umoja wa wanawake (UWT) Taifa Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC) amewahimiza wanawake kuweka misingi imara ya kuwa na umoja na mshikamano hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba 29 mwaka huu. Katibu huyo ameyasema hayo wakati wa mikutano mbali mbali kwa ajili ya kuweza…