Jamhuri kujibu pingamizi lingine la Lissu leo
Dar es Salaam. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema)Tundu Lissu, itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam. Kesi hiyo inayosikilizwa na jopo la majaji watatu, Dunstan Ndunguru (kiongozi wa jopo) James Karayemaha na Ferdnand Kiwonde, itaendelea leo Septemba 18, 2025 kwa upande wa Jamhuri kujibu hoja…