
JamiiForums yafungiwa, mmiliki ajiuzulu ujumbe wa bodi
Dodoma. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imelifungia jukwaa la mtandaoni JamiiForums kwa miezi mitatu, huku mmiliki wa mtandao huo Maxence Melo akijiuzulu ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. TCRA kupitia taarifa iliyotolewa leo Septemba 6, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu, Dk Jabir Bakari imesema leseni iliyotolewa kwa Vapper Tech JamiiForums…