MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AENDELEA KUWAPIGA MSASA WANASIASA
Na; Mwandishi Wetu – Kilindi Vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nchini mwaka 2025,katika Jimbo la Kilindi vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu ili kuendeleza utulivu na amani iliopo nchini. Wito huo umetolewa na Afisa mwandamizi kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa Bi. Edna Assey katika kikao cha mafunzo na vyama vya siasa vyenye…