CMSA Yathibitisha Hatifungani ya TCB kwa Umma – Global Publishers
Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imetoa taarifa ya hali ya masoko ya mitaji nchini katika hafla ya uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Stawi (Stawi Bond) iliyotolewa na Benki ya TCB, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Katika taarifa hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa CMSA, CPA….