Polisi, Uhamiaji kufungua dimba Ligi Kuu Zanzibar
TIMU za Polisi na Uhamiaji, zitafungua dimba la Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026 baada ya ratiba kutangazwa rasmi. Ratiba hiyo iliyotangazwa na Bodi ya Ligi Zanzibar, inaonesha mechi zitaanza kuchezwa Septemba 20, mwaka huu ambapo Polisi itakuwa mwenyeji wa Uhamiaji kwenye Uwanja wa Uwanja Mao A uliopo Unguja, saa 10:15 jioni. Katika ratiba hiyo,…