Prisons ya kishua, ramani ya Ligi Kuu iko hivi
WAKATI wadau na mashabiki wa soka nchini wakisubiri kwa hamu kuanza kwa msimu wa Ligi Kuu 2025/26, Tanzania Prisons imesema inakuja tofauti kupambania nafasi Top 4, huku ikiahidi ‘kibunda’ kwa mastaa wake. Ligi Kuu Bara imeanza jana Septemba 17, ambapo Wajelajela hao watashuka uwanjani siku hiyo wakianzia ugenini dhidi ya Coastal Union, mchezo ukipigwa kwenye…