Gamondi aanza kunogewa | Mwanaspoti
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi, amesema kutwaa ubingwa wa kwanza na klabu hiyo ndani ya mwezi mmoja tangu kuteuliwa kuinoa ni jambo linalomfanya ajisikie furaha akijivunia mradi wa kujenga kikosi imara kitakachoshindana ndani na nje. Gamondi aliiongoza Singida juzi Jumatatu kutwaa ubingwa wa mashindano ya Cecafa Kagame, taji ambalo ameliita kuwa mwanzo mzuri…