Lissu aibua jipya kuhusu mashahidi wa Jamhuri
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibua hoja mpya dhidi ya mashahidi wa Jamhuri wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili, akidai kuwa ni hawastahili kisheria kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi hiyo. Lissu ameibua madai hayo leo Jumanne, Septemba 16, 2025, katika mwendelezo wa usikilizwaji wa…