DKT. MWINYI: UWANJA MPYA WA NDEGE PEMBA UNAKUJA
MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inatarajia kumkabidhi Mkandarasi Mkataba wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba ifikapo Septemba 25 mwaka huu. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 15 Septemba 2025 katika Uzinduzi…