Aliyehukumiwa kubaka mdogo wake aachiwa
Arusha. Mahakama Kuu Masilaja Ndogo ya Tanga imemuachia huru Hussein Athumani, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mdogo wake. Hussein alishtakiwa kwa kosa la ubakaji aliolidaiwa kutendwa mara mbili katika eneo la Amboni, mkoani Tanga. Jaji Happiness Ndesamburo, aliyesikiliza rufaa hiyo iliyokuwa imekatwa na Hussein, alitoa hukumu hiyo Septemba 11, 2025,…