Mahakama ilivyoamua kesi mali za Chadema
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imekiamuru Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwasilisha mahakamani hapo nyaraka zinazohusiana na rasilimali zake kufuatia kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili. Amri hiyo imetolewa na Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo, leo Jumatatu, Septemba…