Folz aringia ubora wa mastaa Yanga, aficha jambo hili
KOCHA wa Yanga, Romain Folz, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Simba huku akiringia ubora wa mastaa wa timu hiyo. Folz amesema, timu hiyo imefanya maandalizi ya kutosha kuelekea mchezo huo, huku akikiri kwamba wanakwenda kukutana na timu nzuri yenye wachezaji bora. Kocha huyo ambaye anayekwenda kucheza dabi ya kwanza…