Mtanzania aanza na Al Ahly
JANA Chama la Mtanzania, Arafat Masoud ‘Konde Boy’ anayekipiga ENPPI lilikuwa kibaruani kwenye muendelezo wa Ligi Kuu Misri dhidi ya Al Ahly na nyota huyo alitarajiwa kuwepo kikosini kwa mara ya kwanza tangu alipotambulishwa hivi karibuni. Kinda huyo alijiunga na timu hiyo akitokea Azam FC aliyoitumikia kwa misimu minane tangu ajiunge mwaka 2017 akicheza timu…