MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA AUTAJA KIGOMA KAMA MKOA WA KIMKAKATI KIUCHUMI,BIASHARA

*Aelezea hatua kwa hatua yanayokwenda kufanyika Kigoma miaka mitano ijayo *Maelfu ya wananchi wampa Vibe la maana alipokuwa akiomba kura kuelekea Oktoba 29 Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MAELFU ya wananchi wa Mkoa wa Kigoma hasa Kigoma Mjini wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ambaye…

Read More

DK.SAMIA:WANANCHI WALIOPISHA UPANUZI UWANJA WA NDEGE KIGOMA WATALIPWA FIDIA ZAO

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema fidia kwa wananchi kwa waliopisha upanuzi wa uwanja wa ndege mkoani Kigoma watalipwa kwani Serikali ya Chama hicho haitamdhulumu mtu. Dk.Samia ametoa kauli hiyo leo Septemba 14,2025 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi wa Jimbo…

Read More

ODILIA : KATAMBI MTU KAZI, OKTOBA 29 KURA ZOTE CCM

Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini uliofanyika Jumapili Septemba 14,2025 katika kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga – Picha na Marco Maduhu na Kadama Malunde Na Marco Maduhu,Shinyanga Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Read More

Ukata unavyotesa vyama vya upinzani

Dar/ mikoani. Kampeni si lelemama ndivyo unaweza kuelezea kile kinachotokea kwa baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani kushindwa kufanya mikutano ya kampeni, huku suala la ukata likitajwa kuwa miongoni mwa sababu za tatizo hilo. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), ndicho pekee katika vyama vya upinzani kinachoonekana kufanya mikutano kwa kuzingatia ratiba iliyotolewa na…

Read More

Othman akomaa na ahadi ya kuimarisha demokrasia

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema endapo akishika madaraka Oktoba 29, mwaka huu atahakikisha anajenga demokrasia ili Wazanzibari wawe huru kuchagua na kuchaguliwa katika chaguzi huru. Amefafanua kuwa Serikali atakayoiunda itakomesha utaratibu wa viongozi kuchaguliwa kwa njia zisizo halali, hali inayosababisha Wazanzibari kupokwa haki yao ya kuchagua…

Read More

Marekani kurudisha miradi ya USAID Tanzania

Arusha. Ubalozi wa Marekani nchini umethibitisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) itarejeshwa, licha ya shirika hilo kufungwa mapema mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili, Septemba 14, 2025, na Balozi wa muda wa Marekani nchini, Andrew Lentz, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Arusha baada…

Read More

Kingu asaka kura za wagombea wa CCM Jimbo la Songea mjini

Songea. Aliyekuwa mbunge wa Singida Magharibi, Elibarik Kingu amewataka wananchi wa Jimbo la Songea kutofanya kosa bali waendelee kukichagua Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema kimetekeleza kwa vitendo ahadi zake katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Akizungumza leo Jumapili Septemba 14, 2025 kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika viwanja vya Kiblang’oma, Kata ya Lizaboni,…

Read More