Dkt. Ndumbaro: Ilani ya CCM 2020–2025 Yatekelezwa kwa kishindo, Ahadi Ilani Mpya 2025–2030 Zatajwa Kampeni Jimbo la Songea Mjini ikizinduliwa.
Mgombea Ubunge Jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, amesema utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020–2025 umekamilika kwa mafanikio makubwa, hususan katika sekta za kilimo, elimu, afya, maji na miundombinu. Akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Songea Mjini…