JKT yatinga fainali ya CECEFA
JKT Queens imetinga fainali ya michuano ya Afrika Mashariki na Kati kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuishinda Kenya Police Bullets kwa mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare ya bao 1-1. Mechi hiyo imepigwa katika Uwanja wa Moi Kasarani, Naironi Kenya, ambako yanafayika mashindano hayo yaliyoanza Septemba 4 na fainali itapigwa keshokutwa…