Dk Mwinyi: Ichagueni CCM, tutajenga uchumi imara, kuvutia wawekezaji
Unguja. Siku moja baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuzindua kampeni zake, mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, Dk Hussein Mwinyi, amekutana na kuzungumza na viongozi wa dini na wazee wastaafu wa chama na Serikali, kuwaomba kuendelea kuombea amani ili uchaguzi upite kwa usalama bila mifarakano. Dk Mwinyi amekutana na makundi hayo leo, Septemba…