Wagonjwa 700 kufikiwa na huduma ya mtoto wa jicho Songwe
Mbeya. Ili kukabiliana na tatizo la upofu unaoepukika, Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Helen Keller International inatarajia kuweka kambi ya siku sita mkoani Songwe kwa ajili ya kuwahudumia wenye tatizo la mtoto wa jicho. Huduma hiyo inatarajia kuwafikia wananchi 700 katika maeneo mbalimbali mkoani humo, ikiwa na…