TASAC-YATAKA KAMPUNI BINAFSI KUTOJIHUSISHA UONDOSHAJI WA KEMIKALI NA VILIPUZI MIGODINI
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania ( TASAC ), limewataka wachimbaji wadogo na wakubwa wa madini pamoja na Kampuni za ugomboaji na uondoshaji wa shehena kuhakikisha kemikali na vilipuzi vinavyotumika kwenye migodi zinaondolewa na wataalam wa TASAC pekee na si vinginevyo. Hayo alibanisha Mkurugenzi wa Huduma za Shirika hilo Hamid Mbegu kwenye…