Suala la ulezi wa pamoja baada ya talaka
Katika dunia ya sasa talaka haimaanishi tena mgawanyiko usiokwepeka hasa linapokuja suala la malezi. Kimsingi, mbali ya talaka, wazazi waliotalakiana wanapaswa kukumbatia mtazamo wa kisasa wa kushirikiana katika kulea watoto wao, hata kama wanaishi tofauti. Kwa miaka mingi, talaka ilihusishwa na ratiba ngumu za ulezi, mapambano ya kisheria, na mawasiliano ya migogoro. Lakini sasa, familia…