KAIRUKI NA OTAIGA KUCHELE WAJIPANGA KULETA MABADILIKO KWA WANANCHI WA KIBAMBA
NA VICTOR MASANGU,KIBAMBA Mgombea mteule wa nafasi ya udiwani kata ya Kibamba kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM) Otaigo Mwita ameahidi kuboresha sekta ya afya,elimu na huduma ya maji endapo akipata ridhaa ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuuu wa mwaka 2025. Kauli hiyo ameitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi ngazi ya Kata…