Yanga yabadilishiwa uwanja CAF | Mwanaspoti
YANGA inaendelea kujifua tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao Simba, utakaopigwa Septemba 16 na habari njema kwa mashabiki wa timu hiyo kimataifa ni namna ambavyo wamerahisishiwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuikabili Wiliete Benguela ya Angola. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu wanatarajia kuanzia ugenini kwenye mchezo…