DK.SAMIA:HUWEZI KUSIKIA MTU CCM AKISEMA ‘TUKIWASHE’ LABDA KIWE KING’AMUZI CHA AZAM
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kasulu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan Chama kinachojali ustawi wa taifa letu la Tanzania usikii mtu kwenye Chama hicho akisema tukiwashe na kama wakisema tukiwashe labda kile king’amuzi cha Azam lakini siyo tukiwashe kwa fujo. Dk.Samia ameyasema hayo leo Septemba 13,2025 alipokuwa akihutubia maelfu ya wananchi…